Sherehe za ubingwa bado ziliendelea ...
Viongozi wa Kitambi Noma wakiwa na Viongozi wa KPA Mombasa
Picha ya Pamoja na Timu ya Veteran ya KPA - Mombasa
Kiungo wa kati wa Timu ya Kitambi Noma akisherehekea Ubingwa
Team Coach wa Kitambi Noma Akim aka Carrick akifurahia ushindi huo
Kiungo Mshambuliaji wa Kitambi Noma akisherehekea Ubingwa